Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwanamke mmoja mkazi wa manispaa ya Shinyanga amejifungua mtoto wa ajabu wa kike asiyekuwa na mdomo wala pua huku masikio yake yakiwa shingoni katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga.

 Mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga  Dkt Mfaume Salum amesema mtoto huyo alizaliwa jana saa moja asubuhi na alifariki muda mfupi baadaye kutokana na kasoro alizokuwa nazo.
Mwandishi wa Malunde1 blog Nunu Abdul amefuatilia kwa ukaribu zaidi habari hii,Tutawaletea habari kamili hivi punde,ikiwemo sababu za kuzaliwa kwa watoto wa namna hiyo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top