
Manchester United leo wameitandika Tottenham magoli 3 kwa bila na kuisogelea timu ya Arsenal nyuma kwa point moja 56 huku Arsenal ikiwa na point 57, Man United walianza kuandika bao la kwanza kupitia kwa Kiungo mbeligji Fellaini katika dakika ya 9 mnamo dakika ya 19 Michael Carrick akaipatia goli la pili kabla ya mapumziko Wayne Rooney akatupia goli la 3 katika dakika ya 33 ya mchezo. timu hizo zilikwenda mapumziko man united wakiongoza magoli 3 bila kipindi cha pili timu zilifanya mabadiliko lakini hayakuleta mabadiliko yeyote mpaka mpira unakwisha Man united 3 Tottenham bila.



Post a Comment
Post a Comment