Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mama Maria Nyerere ambaye ni mjane wa mke wa Rais wa kwanza wa Tanzania, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jana  jioni  alizungumza na kituo cha runinga cha Taifa, TBC na kukanusha uvumi ulioenezwa katika mitandao ya kijamii kuwa ameaga dunia.

Akizungumza na mtangazaji, Mama Nyerere alimuuliza, "ukiniangalia unanionaje?" ambapo mtangazaji alimjibu, "nakuona mzima!" huku wakitabasamu.

Mama Maria alisema huu ni mwaka wa uchauguzi, hivyo mambo haya ya uzushi si ya ajabu.

Kabla ya uvumi wa kizushi kuhusu Mama Maria, juzi kupitia WhatsApp ulikuwa ukitumwa ujumbe mwingine wa kumzushia kifo Reginald Mengi, Mwenyekiti wa makampuni ya IPP.
Bonyeza  hiyo  video  hapo  chini  Umsikie  mama  Maria  Nyerere. 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top