Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Habari zilizotufikia hivi punde Hostel za Mabibo Hostel zinazomilikiwa na chuo kikuu cha dar es salaam moja ya jengo moja linateketea kwa moto muda huu ambao chanzo chake hakijajulikana kwa taarifa za awani zinadai kuwa ni bweni la wanawakendio linalowaka moto. endelea kutembea hapa kwa taarifa zaidi.






Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top