Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
bloody_handsMwanamke mmoja nchini Nigeria anashikiliwa na Polisi kutokana na kosa la mauaji ya mtu ambaye alikuwa ni mpenzi wake.. kisa chote kilianzia kwenye ndoto !!
Mwanamke huyo Monsurat Yusuf alishtuka toka usingizini na kumsimulia mpenzi wake,Eric Moses kwamba ameota ndoto ambayo alihisi amepigwa na mpenzi wake huyo makofi akiwa usingizini.
Eric alicheka baada ya kusikia story hiyo lakini kumbe Monsurat hakupenda, akachukua kisu na kumchoma mpenzi wake huyo ambaye alifariki.
Upelelezi wa Polisi umeonesha wote wawili walikuwa ni wanafunzi na walikuwa wakiimba kwaya pia ya kanisa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top