March 23, 2025 01:00:42 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
coupleee
Kuna kitu kama kimezoeleka na watu wengi hivi, ishu ya kuona mastaa wakidumu muda mfupi kwenye uhusiano wa kimapenzi, lakini upande wa pili ni kwamba wapo ambao wamedumu na kuwa kivutio cha watu wengi.

Hapa nimekusogezea listi ya mastaa 10 duniani ambao wapo kwenye uhusiano na wamekuwa wakitazamwa na watu wengi zaidi duniani:-
1. Brand Pitt na Angelina Jolie
Premiere Of Fox Searchlight Pictures' "The Tree Of Life" - Red Carpet

2. Russel Brand na Katy Perry
2011 MTV Video Music Awards - Red Carpet
3. Jay Z na Beyonce
"Alexander McQueen: Savage Beauty" Costume Institute Gala At The Metropolitan Museum Of Art - Arrivals
4. David Beckham na Victoria
vic
5.Will Smith na Jada Pinkett
BET Awards '11 - Show
6. Kanye West na Kim Kardashian
kim
7. Barack Obama na Michelle Obama
obam
8. Prince Willium na Kate Middleton
kate
9. Jennifer Garner na Ben Affleck
16th Annual Critics' Choice Movie Awards - Backstage And Audience
10. John Legend na Chrissy Teigen
chrs

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
19 Mar 2015

Post a Comment

 
Top