Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
26C9C97600000578-3001792-image-m-34_1426741619536
Mwanamke mmoja Michelle katika jimbo la Corolado Marekani amepoteza kichanga chake baada ya mwanamke mmoja kumchoma kisu tumboni na kuchukua kichanga chake kilichokuwa na miezi saba.
Dynel Catrece Lane ndie mwanamke ambaye ametajwa kuhusika na kosa hilo, alimchoma mwanamke huyo kisu tumboni na kumtoa kichanga hicho halafu akakimbia kwenda Hospitali akidai kwamba ametokwa ujauzito, wakati huo alikuwa amekishika kichanga hicho mkononi kikiwa kimefariki.
Dynel-Catrece-Lane-
Dynel Catrece Lane
Baada ya Lane kufanya tukio hilo na kukimbia, Michelle alipiga simu ya dharura 911 kuomba msaada; “amenichoma tumboni.. nina ujauzito..
26C9C9E800000578-3001792-Police_hoped_to_gain_access_to_the_home_on_Wednesday_night_using-m-3_1426791815762

Polisi wakiwa eneo la tukio
Michelle alifikishwa Hospitali na kuendelea kupatiwa matibabu ya majeraha aliyochomwa kisu na mwanamke huyo.
Lane amefunguliwa mashtaka matatu, kosa la kuua, kutesa na kosa la kukiuka haki za watoto.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza taarifa hiyo…

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top