April 3, 2025 06:58:29 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Chelsea
Vinara wa Ligi kuu nchini Uingereza Chelsea leo wamejikuta wakitoka sare na timu ambayo haitambili ya southampton, Ilikuwa ni timu ya Chelsea walipoanza kujipatia goli katika dakika ya 11 ya mchezo lilotiwa kambani na Diego Costa, Southampton walikuja kasi na katika Dakika ya 19 ya mchezo Tadic aliifungia timu yake goli la kusawazisha  kwa mkwaju wa penati mpaka mwisho wa mchezo Chelsea 1 vs 1 Southampton
Michezo mwingine 
Everton 3 vs 0 Newcastle
Manchester United 3 vs 0 Tottenham Hotspur
Costa, who was heavily criticised for his midweek performance against PSG, got back in the business of scoring goalsSaints schemer Dusan Tadic steps up to equalise for the visitors from the penalty spotChelsea manager Jose Mourinho gestures from the sidelines as his side's struggles at home continue

Southampton team-mates congratulate goalscorer Tadic after levelling the score at 1-1 in the first half

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
15 Mar 2015

Post a Comment

 
Top