Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kitendo cha Ray C Kumshauri Diamond Amuoe Zari the Boss Lady Kupitia Mtandao wa Instagram Watu mbali mbali ambao ni mashabiki wa Wema Walianza Mtukana Ray C kwa Vijimaneno vya Hapa na pale  Kitu Ambacho Ray C hakukipenda na Kuamua Kuwashukia na Kuwapa Soma kama ifuatavyo :

'Waende zao Wasituletee Shobo Hapa Team Ushuzi Team Njegere, I dont give Fuc.kin Care!mi mwenyewe nimetoka lutindi! wanajifanya vichaa simu zetu vidole vyetu vocha tunanunua wenyewe halafu eti tuogope kucomment kwa msanii mwenzetu eti kisa wao hawapendi kwani wameninunulia simu au siwezi nyimwa Uhuru wa simu yangu kwa sababu ya wajinga wasiosoma! MTU mwenye kukaa insta masaa 24 huyo hana kazi ! wafanya insta kama kariakoo....Mnaojifanya mnajua kutukana wekeni sura zenu tuwaone.......' Ray C
~udakuspecially

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top