March 26, 2025 09:47:52 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
sasha
Ni mara chache kwa mastaa wa kike wa muziki Marekani kuona wakiweka picha za watoto wao mara baada ya kutoka kujifungua.
Imewachukua muda mrefu mastaa kama Kim Kardashian, BeyonceKelly Rowland na wengine kuonyesha watoto wao wakiwa bado wachanga lakini kwa Shakira na mume wake Gerard Pique imekuwa tofauti kwani ni wiki moja tungu wapate ugeni katika familia yao na wameamua kuonyesha picha za mtoto wao.
sasha 2
Katika picha hiyo wawili hao waliandika kuwa wanafuraha kubwa kumkaribisha mtoto wa pili Sasha katika familia yao na kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwatakia heri.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
07 Feb 2015

Post a Comment

 
Top