Picha za Uchi: Mpenzi wa Desire Luzinda akamatwa A+ A- Print Email Franklin Emoubor, raia wa Nigerian ambaye alikuwa mpenzi wa mwanamuziki nyota wa kike nchini Uganda Desire Luzinda amekamatwa. Waziri wa Maadili wa Uganda Mchungaji Simon Lokodo, amesema kuwa Mnaigeria huyo amekamatwa na kikosi cha polisi cha kimataifa cha Interpol. Hata hivyo waziri huyo hakueleza iwapo Emoubor anayedaiwa kusambaza mtandaoni picha za utupu za Desire, amekamatwa akiwa wapi. Mpekuzihuru Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment