Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MTANGAZAJI wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima ‘Mwarabu wa Kigoma’ juzikati alionekana akiwa ameachia nido zake ukumbini.
Mtangazaji wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima akipozi kwenye 'Red Carpet'.
Tukio hilo lilitokea katika Ukumbi wa Escape One, jijini Dar ambapo Sauda alikuwa ameambatana na mumewe, Kauli Juma huku sehemu ya kifua chake ikiacha nido zake wazi kutokana na nguo aliyokuwa ameivaa.
“Jamani hivi siku hizi imekuwa ni fasheni watu kuanika vifua vyao? Mnamuona Sauda na nguo aliyovaa, inaonekana ni ndogo sana hasa pale kifuani kwa sababu nido zote nje, pale akiinama tu zinachomoka mweeeh!,” aliongea mmoja wa watu waliokuwepo ukumbini hapo.
~Gpl

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top