Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Shamsa Ford amewabwatukia baadhi ya watu ambao wanapenda kumsema kuwa yeye ni mshamba kwa kushindwa kutoka misele nyakati za usiku.
 
Akizungumza na GPL, Shamsa alisema anawashangaa watu hao kumsema na kumjadili kwa watu wengine kuwa yeye ni mshamba kitu ambacho hakipendi kwani kila mtu ana aina yake ya maisha aliyoyachagua kuishi.
 
Mimi sijawahi kumsumbua mtu hela ya kula hata siku moja kisa tu eti sijichanganyi na wanawake wa mjini, mimi familia yangu ndiyo namba moja, ndivyo nilivyoamua kuishi mtu akiniiita mshamba atakuwa anajisumbua tu,” alisema Shamsa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top