Mkwaju wa penalti uliofungwa na nahodha Wayne Rooney uliisaidia Manchester United kuichapa Sunderland mabao 2-0 baada ya West Brown kupewa kadi nyekundu katika kile kilichoonekana kama uonevu.

Rooney alifunga baada ya mshambuliaji Radamel Falcao kuchezewa visivyo na kusababisha kutolewa kwa Wes Brown badala ya John Oshea aliyecheza vibaya licha ya pingamizi kutoka kwa mashabiki.
Manchester united iliongeza bao la pili baada ya Rooney kufunga kupitia kichwa baada ya mkwaju wa Adnan Januzaj kupanguliwa na kipa.
Ushindi huo umeimarisha harakati za kilabu hiyo kuwania nafasi nne bora katika ligi hiyo.

Kikosi cha Manchester United: De Gea; Valencia, Smalling, Evans, Rojo, Blind; Herrera, Young, Di Maria (Januzaj); Rooney (Mata), Falcao (Fellaini)
Subs: Lindegaard, McNair, Carrick, Wilson.
Booked: Valencia
Goals: Rooney 66', 84'
Kikosi cha Sunderland: Pantilimon; Reveillere, van Aanholt, Brown, O’Shea (c); Cattermole, Larsson, Gomez, Johnson (Fletcher); Wickham (Fletcher), Defoe (Fletcher).
Subs: Mannone, Bridcutt, Coates, Watmore
Booked: van Aanholt
Sent off: O'Shea
Matokeo mengine ya michezo ya leo:





Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment