
Timu ya Yanga inafanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3 - 0 dhidi ya Prisons,kupitia kwa magoli ya Msuva akimalizia kona za Andrey Coutinho dakika ya 3 na 63 huku Andrey Coutinho akifunga katika dakika ya 11.
Kwa matokeo haya Yanga wanakaa kileleni kwa pointi 28 huku Azam akishuka hadi nafasi ya 2 kwa pointi 26 baada ya kutoka sare dhidi ya ruvu shooting.
MSimamo wa Lgi kuu

MSimamo wa Lgi kuu

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment