
Moja ya vitu ya kusikitisha ilikuwa ni kufariki kwa Paul Walker, mkali ambaye alikuwa kwenye timu ya mastaa ambao wamecheza movies kali za Fast & Furious, pamoja na akina Vin Diesel, Dwayne Johnson, Ludacris, Tyrese Michelle Rodriguez na Jordana Brewster.
Najua wapenzi wa movies za action wako tayari kuipokea hii mwezi April ambapo itakuwa sokoni rasmi, cheki trailer nyingine iliyoachiwa. Kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza Hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment