Mohamed Khalfan ambaye ni kikongwe wa miaka 78 mwenye ulemavu wa ukoma na mkewe, Habiba Shomari (68) hivi karibuni waliwashangaza watu baada ya kuamua kumwagiana mabusu hadharani.
Tukio hilo lilijiri kwenye Kambi ya Walemavu wa Ukoma ya Chazi iliyopo Kata ya Chazi wilayani Mvomero mkoani Morogoro ambapo kulikuwa na kikao cha serikali za mtaa kutatua mgogoro wa ardhi.
Akizungumza huku akiwa na furaha, Mzee Khalfan alisema ndoa yake na mkewe ina miaka 60, walifunga mwaka 1955 mkoani hapa.
”Nampenda sana mpenzi wangu huyu. Nilifunga naye ndoa mwaka 55, ila kwa bahati Mungu hakutujalia kupata mtoto hata mmoja.
“Lakini pamoja na kukosa mtoto hata wa dawa, tunaishi na mwezangu katika mapenzi mazito. Kila siku namwona kama mchumba na yeye ananiona kama mvulana mbichi kabisa,” alisema kikongwe huyo mwenye meno ya kuhesabu na kuwafanya watu wawapongeze hasa ikizingatiwa kuwa, ndoa za siku hizi zikidumu miaka miwili Mungu mkubwa!
Muda mwingi vikongwe hao walikuwa wakipelekeana midomo na kumwaga mabusu mazito. Baadhi ya watu walisema kwa kizazi cha sasa kuna cha kujifunza kwa vikongwe hao ingawa wenyewe walidai siri ya ndoa yao kudumu ni kuvumiliana na kuheshimiana.
Credit: Gazeti la Amani.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- VIDEO: Mama Wema Aeleza Beef yake na Man Fongo Kisa……..09 Sep 20160
NI Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa ...Read more ?
- Busu la Nelly Kamwelu shavuni kwa Diamond akiwa na Wizkid lawatoa povu mashabiki (Video)25 Aug 20160
Haipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria...Read more ?
- Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maswali Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo19 Aug 20160
Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili iliyopita wawili hao wameon...Read more ?
- AUDIO: Kitu Diamond kasema kuhusu yeye kuwa mapenzini na Hamisa Mobetto03 Aug 20160
Ukaribu wako kwenye mitandao ya kijamii siku za karibuni unaweza kuwa ulikukutanisha na stori...Read more ?
- Shamsa Ford Amuweka Wazi Mpenzi wake Mpya03 Aug 20160
Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa baada ya kuachana na mpenzi wake wa...Read more ?
- Madai: Flora Amwangukia Mbasha30 Jul 20160
Habari ya mjini ni Mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha kudaiwa kumwangukia mumewe waliyetengana, Em...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment