
Kwenye U heard ya leo Jan 26 ni ile inayohusu utata uliotokea kwenye tamasha moja lililofanyika mwishoni mwa wiki, ambapo kuna taarifa zilizoenea kuwa msanii Ali Kiba aliruka ukuta na mlinzi wake alimzuia asisalimiane na wasanii wenzake matukio yaliyohusishwa na Imani za kishirikina.
Soudy Brown alimtafuta mlinzi wa eneo lilipofanyika tamasha hilo ambae amekiri msanii huyo kuruka ukuta akisaidiwa na wenzake na kusema hiyo ndio style yake aliyoamua.
All kiba alipotafutwa amesema kuwa swala la kukataa kusalimiana na wasanii wenzake alikuwa hajawaona lakini badae alisalimiana nao, kuhusu swala la kuruka ukuta amesema ni kweli aliruka kutokana na watu wengi waliokaa mlango lakini jambo hilo halihusiani na Imani za kishirikina kwa kuwa hana Imani hizo.
Unaweza kusikiliza U heard ya leo hapa kwa kubonyeza play.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment