Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Msanii Tunda Man kutoka Tip Top connection inasemakana kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na msichana ambaye aliwahi kuwa na uhusiano na msanii wa Yamoto Band, Dogo Aslay ambapo anajulikana kwa jina Najma


Mtangazaji wa Soudy Brown kutoka Clods Fm alimtafuta Tunda ambaye alikanusha mahasiano yake na mrembo huyo na wakati akifanya mahojiano hayo alilalamika kwamba jana usiku aliibiwa vitu kadhaa katika gari yake aliyokuwa amepaki nje ya nyumba yake.

Kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa kusikiliza 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top