April 3, 2025 08:58:22 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Salim kIKEKE
Jina la Mtangazaji Salim Kikeke sio jina geni, huyu ni Mtanzania ambaye ni mtangazaji wa Kituo cha BBC, Uingereza.
Hii ni makala ambayo imewekwa mtandaoni dakika chache zilizopita, inahusu ishu ya foleni Dar es Salaam.
Ndani ya makala hii kuna vitu ambavyo sikuwahi kuvijua siku za nyuma, kumbe kuna usafiri wa Helicopter za kukodi, inakupeleka popote unapotaka ndani ya Dar na utapishana na usumbufu wote wa foleni!
Unaweza kutaizama makala hiyo ya Salim Kikeke hapa, ina dakika moja na sekunde 30 tu 
kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
12 Jan 2015

Post a Comment

 
Top