Kumekuwa na story jioni ya leo Dar kuhusu kikundi cha watu cha ‘Panya Road’ kuvamia maeneo mbalimbali, kupora vitu na kupiga watu.
Kamanda wa Polisi Suleiman Kova amezungumza kupitia kituo cha TBC1, amesema kuwa wananchi wanapaswa kuwa na amani kwa kuwa kikundi hicho kina wahalifu wachache, tayari kuwa wawili ambao wamekamatwa na oparesheni inaendelea ili kuwadhibiti.
Unaweza kusikiliza mahojiano yote hapa.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment