Story inayoendelea kuchukua headline muda huu kuhusiana na taarifa za kikundi cha wezi maarufu kama Panya Road ambacho kinaaminika kuvamia maeneo kadhaa ya Dar es Salaam ikiwemo Sinza, Mwananyamala, Tabata na sehemu nyingine.
Millardayo.com imepata nafasi ya kuzungumza na producer Sheddy Clever pamoja na Mtangazaji wa Jahazi Ephrahim Kibonde ambao walishuhudia tukio la uvamizi wa kikundi hicho.
Credit Millardayo
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment