March 17, 2025 10:32:16 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
.
Mtu wa nguvu utakuwa umeshaisikiliza ile single mpya ya Hamisi Mwinjuma aka Mwana FA ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Ali Kiba, sasa time hii wanakupa sekunde 15 za kutazama kionjo cha video hiyo mpya.
Video hiyo inatarajiwa kuachiwa Alhamisi ya wiki hii tarehe 15.

Credit Millardayo

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
13 Jan 2015

Post a Comment

 
Top