April 29, 2025 12:33:18 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
along
Matukio ya wanawake kukata tamaa ya kuolewa kwa miaka ya sasa yameanza kuonekana ni ‘fashion’ huku wengi wakiona ni jambo la kawaida kuishi maisha ya peke yao.

Yasmin Eleby mwenyeji wa Houston, Marekani ameamua kufunga ndoa ya peke yake baada ya kufikisha miaka 40 bila kuona dalili yoyote ya kuolewa.
ele2
Eleby aliamua kufanya siku yake hiyo kuwa ya tukio muhimu kama ambavyo alikua akiota siku moja atakuja kuolewa na kufurahia siku hiyo ambapo aliwaalika baadhi ya ndugu zake na marafiki na kuamua kufanya sherehe hiyo katika ukumbi wa makumbusho waHouston Museum.
Taratibu zote za arusi zilifuatwa na wageni waliohudhuria wakiwemo ndugu wa karibu na walimsapoti na kufurahia sherehe hiyo.
ele
Yasmin Eleby akiwa na wazazi wake siku ya harusi yake
Mwanamke huyo amepanga pia kwenda fungate ambapo atatembelea miji ya Laos, Cambodia, and Dubai.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
27 Jan 2015

Post a Comment

 
Top