March 28, 2025 10:46:56 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
lungu
Mgombea wa chama tawala cha Patriotic Front, Edgar Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia.

Kwa mujibu wa Tume ya uchaguzi nchini humo imesema kuwa Lungu ambaye alikuwaWaziri wa ulinzi wa nchi hiyo amepata asilimia 48 ya kura zilizopigwa na alikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea wa upinzani Hakainde Hichilema.
stt
Aliyekuwa rais wa muda wa Zambia Guy Scott akiwa na rais mpyaEdgar Lungu
Uchaguzi huo uliandaliwa kufuatia kifo cha rais Michael Sata ambaye alifariki dunia mwezi Oktoba mwaka jana na nafasi hiyo kushikiliwa na Guy Scott.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
25 Jan 2015

Post a Comment

 
Top