Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Nimejaribu kukaa na kutafakari matusi anayopewa Diamond na team Wema, kisha katika pitapita zangu nikakutana na hili jamaa linajiita King Lawrence (Lawrence Muyanga). Huyu jamaa nadhani amekuwa mtumwa wa kufuatilia mienendo ya Diamond na Zari, kwani karibu kila tukio analirusha huko instagram kwake.

Kwa namna anavyoaandika maneno ya kejeli hakuna shaka kwamba huyu jamaa penzi la Chibu na Madam Zari limempiga za chemba vibaya mno. Jamaa kama kapanic hivi hadi kakosa direction. Anataka kutengeneza kaushindani ka kijinga na Chibu halafu Chibu mwenyewe kampotezea. Pamoja na kuwa jamaa anaonekana change zipo ila hili la Chibu na Dangote pesa imeshindwa kufanya kazi.


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top