
Villarreal wamethibitisha kuwa Arsenal wamekubali kumsajili beki Gabriel Paulista kwa uhamisho wa zaidi ya pauni milioni 11.
Villarreal pia wametangaza kuwa mshambuliaji wa Arsenal Joel Campbell
atajiunga nao hadi mwisho wa msimu kwa mkopo wa miezi sita.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment