March 28, 2025 01:25:24 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwaka Jana Tulishuhudia Mdogo wake Mwanamuziki Diamond Platnumz anajulikana kwa jina la Esma Platnum Akiolewa na mmoja wa Wafanyakazi Wa Wema Sepetu Upande wa Kampuni ya Endless Fame Anajulikana kama Petit Man.
Leo Asubihi January 12 Petit Man Amepost Picha ya Mke wake Esma Akiwa Mjamzito Kama inavyoonekana Kwenye Picha....

Wakati huo huo Nae Esma Platnum Ameandika Haya Kwenye Ukurasa wake wa Insta:

"Morning IG daah kuna watu humu km unamoyo mdogo unaweza kufa kwa presha haki ya mungu naona kwanza nijipumzishe na insta kwanza hali yangu muhimu sana kuliko hata kitu chochote na mi binadamu ninamoyo...nisubilini nikifa muanze kunipa sifa hata zingine nisiokuwa nazo... now siitaji tress I LOVE U ALL "

Hongereni Petit Man na Esma Platnum

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
12 Jan 2015

Post a Comment

 
Top