Baada ya kile kinyanganyiro kilichowakutanisha warembo 88 kutoka Duniani kote katika shindano la Miss Universe 2014, kufikia tamati January 25 hatimae Miss Colombia Paulina Vega 22, ameweza kuibuka mshindi katika mashindano hayo.
Fainali za shindano hilo zilifanyika katika ukumbi wa FIU Arena huko Miami florida, huku mrembo pekee kutoka Nigeria Celestine Queen akifanikiwa kuiwakilisha Afrika kwa kushinda taji la mtu mwenye Upendo.









Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro










Post a Comment
Post a Comment