April 3, 2025 09:23:55 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

“Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za weledi na haki kwa jamii”. Mwisho wa kunukuu

Kitendo cha kumuomba msahani mwanadada Wema ni kitendo cha kiungwana pongezi kwenu Mtanzania natumai Wema kwa uungwana wake atawaelewa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
27 Jan 2015

Post a Comment

 
Top