Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Image00001
Saa chache zilizopita katika Barabara ya Kawawa, Ilala Dar imetokea ajali nyingine ya moto, gari ndogo imewaka moto lakini hakuna mtu aliyeathirika kutokana na tukio hilo.
Mmiliki wa gari hilo Johns amesema alishtukia watu wakimuita kwamba gari yake inawaka moto kwa sehemu ya chini lakini hajajua kama moto huo kuna sehemu aliukanyaga au ni shoti iliyotoka kwenye gari hiyo.
Kikosi cha Askari wa zimamoto walifika na kuuzima moto huo lakini gari hilo lilikuwa tayari limetekea kwa moto.
Hizi ni picha za tukio hilo.
Image00001
Image00002
Image00003
.
Watu wakiwa wamelizunguka gari hilo baada ya kuwaka moto.
Image00005

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top