Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Huku kukiwa na tabia kuwa baadhi ya wanawake wanapokuwa wajawazito wanakuwa na tabia za kusumbua na kubagua baadhi ya vitu, msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’, amesema kwa upande wake yuko vile vile na wala hajabadilika.

Akiongea  na mpekuzi, Aunty alisema kuwa haoni kama amebadilika kitabia au kuwa msumbufu bali anajiona yupo kawaida ingawa mara nyingine anakuwa anachoka sana.
  
“Mimba wala haijanibadili maisha kwa maana sipo kama wanawake wengine wanavyokuwa wasumbufu, naamini kuwa nitaendelea kuwa hivi hadi mwisho nitakapojifungua,” alisema Aunty.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
27 Jan 2015

Post a Comment

 
Top