![]() |
Wema Sepetu kushoto , kulia ni Aunty na Martin Kadinda Wakifanya yao |
“Mh jamani huyu Aunt si ana mume? Halafu si ana kibuzi chake kingine? Huyu Martin naye imekuwaje tena,” alisikika jamaa mmoja ukumbini humo.
Alipoulizwa Aunt kuhusu tukio hilo, alisema wamekumbatiana kirafiki tu na si wapenzi.
~Globalpublishers
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment