Makamu wa rais wa shirikisho la soka duniani, FIFA, Prince Ali Bin Al Hussein atachuana na rais wa sasa Sepp Blatter kuwania nafasi hiyo.Prince, 39, raia wa Jordan, atasimama kama mgombea kwenye uchaguzo wa rais wa fifa utakaofanyika 29 May. Blatter, 78, atakuwa anawania kwa mara ya tano.
Chanzo: BBC Sports
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment