Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Pastor-Chris4
Kuna taarifa kuwa mchungaji wa kanisa la Christ Embassy, Pastor Chris Oyakhilome wa nchini Nigeria, aliwatoza waumini wake N1,000 kama kiingilio kwenye kanisa hilo kwenye misa ya December 31, 2014.
Wale walioshindwa kulipa kiasi hicho hawakuruhusiwa kuingia kwenye kanisa hilo lililopo Oregun, Ikeja.
Hata hivyo kanisa hilo lilidai kuwa kiingilio hicho kiliwekwa ili kupunguza idadi ya watu ambao wangeingia kanisani kwakuwa misa hiyo ya mwisho wa mwaka huvutia waumini wengine mno. Kanisa hilo huingiza takriban 20,000.

Chanzo: Bella Naija

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top