March 31, 2025 10:52:01 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Usiku wa kuamkia leo wengi walikuwa wakisubiri hasa kujua na kuiona show iliyo andaliwa na kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mkononi tiGo kupitia kampeni yao ya tiGo Kiboko Yao Concert ambapo wakali kibao akiwemo Abwene yesaya 'AY, Yamoto band, Diamond Platnumz nawengine walisababisha concert hiyo iende poa.
Hizi ni picha zikionyesha show ya mkali Diamond Platnumz akiwa na kundi zima la Wasafi kwenye stage wakati wa show yake. Yeye binafsi kupitia account yake ya Instagram Diamond Platnumz amepata kuyaandika haya maneno:

''Ntakuwa Mchoyo wa fadhira sana kama sintochkua Muda huu kuwashkuru wananchi wote waliokuja jana kutusupport vijana wao....hakika ilikuwa ni moja ya Tamasha la Kihistoria sana... Wengine maskini walifika toka asubuhi na kuvumilia hadi usiku wa manane, lakini naamini yote ni mapenzi ya dhati kwa wasanii wao na sie tunawashkuru sana... Shukran na Heshima Nyingi pia ziwafikie @TiGo_Tanzania kwa kuweza kutueka karibu na Mashabiki zetu pendwa Mwanzoni huu mwa Mwaka..tafadhali naombeni Ruksa niwaekee picha sasa ��''

Tizama picha zaidi:






Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
25 Jan 2015

Post a Comment

 
Top