Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo.

Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na mwandishi wetu na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita gogo.
 

“Wee nani kasema? Sipendi kuitwa hivyo wakati mwenyewe najijua kabisa ninakuwaje pindi ninapokuwa na mpenzi wangu, najiamini kweli,”alisema Tiko.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top