March 18, 2025 06:21:29 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
shadow
Matukio ya wazazi kutesa watoto wao yameendelea kuchukua nafasi katika jamii nyingi dunia hadi kufikia hatua ya watoto kukimbilia katika vituo vya kulelea watoto yatima

Binti mmoja nchini Australia alifungiwa na wazazi wake ndani kwa miaka mitano huku wakitumia nafasi hiyo kumbaka ili kutimiza haja zao.
Lauren Kavanaugh alizuiwa kula na kunyanyaswa kisha kubakwa nyakati wa usiku na mama yake mzazi pamoja na baba yake wa kufikia.
Luren ambaye kwa sasa ana miaka 21 alizungumzia tukio hilo  ambalo amedai limetesa maisha yake kwa kiasi kikubwa huku akiahidi kutoa elimu kwa wasichana wenzake ili wasiweze kupata udhalilishaji kama alioupata yeye.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
13 Jan 2015

Post a Comment

 
Top