March 21, 2025 12:31:15 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
banner
Baada ya Liverpool na Manchester United kupata ushindi jioni ya leo – vilabu vingine vikubwa kwenye ligi kuu ya Uingereza Chelsea na Man City navyo vilikuwa vikichuana katika vita kugombea uongozi wa ligi hiyo.
Mechi hiyo ambayo ilipigwa jijini London katika dimba la Stamford Bridge imemalizika muda mfupi uliopita huku Chelsea wakiweza kuendelea kuustawisha uongozi wao kwenye msimamo wa ligi.Lampard made sure to applaud all four corners of the ground at Stamford Bridge at full time
Matokeo ya mechi hiyo ni sare ya 1-1 ambayo imeendelea kuipa Chelsea uongozi wa pointi 5 zaidi ya Man City wanaoshika nafasi ya pili.
Chelsea walianza kufunga goli kupitia Loic Remy ambaye alimalizia kazi nzuri ya Eden Hazard katika dakika ya 40 – lakini muda mfupi baadae David Silva akaisawazishia City baada ya kumalizia pasi ya Sergio Aguero.
Mpaka mwisho wa mchezo huo matokeo yalikuwa yakisomeka 1-1.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
31 Jan 2015

Post a Comment

 
Top