
Laurent Koscielny aliwafungua Arsenal bao la kwanza katika dakika ya sita kwa kichwa kabla ya Alexis Sanchez kufunga la pili dakika 33 ya mchezo na akahitimisha katika dakika 49 kipindi cha pili.
katika mchezo huo Arsenal ilipata pigo matheiu Debuchy kuangukia bega kwenye mabango ya matangazo pembezoni mwa mwa Uwanja baada ya kupushiwa na mchezaji wa Stoke City Marko Arnaoutovic.

Arsenal: Ospina, Debuchy, Mertesacker, Koscielny, Monreal,Coquelin, Oxlade-Chamberlain, Rosicky, Cazorla, Alexis, Giroud. Akiba: Szczesny, Bellerin, Flamini, Ramsey, Ozil, Campell, Walcott.
Stoke City: Begovic; Cameron, Wollscheid, Shawcross, Pieters; Nzonzi, Whelan; Arnautovica, Bojan, Walters; Crouch. Akiba: Butland, Muniesa, Ireland, Wilson, Moses, Adam, Sidwell.

![]() |
Arsenal legends Thierry Henry (centre) and Robert Pires (right) look on as their former team take on Stoke at the Emirates |

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment