
Staa Diamond Platnumz ambaye jana alikuwa akipiga show kali pale nchin Rwanda akiwa na mpenzi wake Zari the Boss Lady na kwa mujibu wa mashabiki wa Uganda wanasema wanaona kama Zari Hassan ndie mwanamke wa maisha ya Diamond Platinumz kutokana na yeye kujali sana kazi za mpenzi wake ambapo wamekuwa wakisafiri kila mara licha ya kwamba Zari anabishara zake lakin yuko Radhi kuziacha na kumpa Company mpenzi wake, Zari ambaye amempita Diamond kwa miaka mingi lakin siku zote umri ni namba tu kikubwa ni Penzi acha Ubuyu uendeelee

Wapendanao hao jamani kila la kweri acha ubuyu uendeelee kumwagika .
Show hiyo ilifanyika katika viwanja vya Amahoro Stadium, na unaweza kujionea kilichotokea mwanzo mpaka kwenye picha hizi.





Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment