March 21, 2025 09:29:36 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Vee Mtonyo na Jux 

Mahaba nitetemesheeee kama umemeee
Zee n Mondi
Kohokohooooo, leo ni mambo ya maloveeee, couple ipi kati ya hizo mbili unayoipenda?? naomba kama kuna nyingine unazozijua za uhakika please ututajie ila si za uzushi, kuna watu wameniomba niandike hii ila wakaongeza ya Kajala na Quick Rocka ila kwa kuwa sijathibitisha sija add hapo, haya na wewe unaweza ukatoa mawazo kama una couple unayoijua nzuri, kama huna jimwage kati ya hizo mbili…… ipi nzuri??? watu na ma baby zao wenye vifua haswa sio kifua mosquito chest kama wewe ndo wa mosquito chest usionee wenzio wivu kitulize kama Mabaga fresh!

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
20 Jan 2015

Post a Comment

 
Top