Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwanamke mmoja ambaye jina lake ni Nomsa Dube mwenye umri wa miaka 28 amemchoma mumewe sehemu za siri kwa maji ya moto baada ya kuhisi akiwa namsaliti na mwanamke mwingine. Mwanaume huyu ambaye jina lake ni Fezile Dube’s (35) ambaye alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya uvimbe sehemu zake za siri na walipomfuata daktari aliwa waambia kwamba mwanaume huyo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa hata wa mkanda wa Jeshi ambapo daktari alisisitiza mwaume huyo kurudi baada ya miezi mitatu ili kuja kufanya vipimo vya ugonjwa wa Ukimwi baada ya miezi mitatu.

         

Baada ya kurudi nyumba mwanaume huyo alikiri kuwa na wasichana ambao alikuwa akilala nao nje ya ndoa yake, na mkewe baada ya kuambiwa hivyo alianza kumlaumu na kumuliza kwanin hakutumia kinga.Licha ya mwanaume kuwa na michepuko nje ya ndoa yake lakini ilikuwa tofauti kwa mkewe ambaye alikuwa muaminifu kwa mumewe ndipo alipokasirika na kumchoma na maji ya moto kwa mujibu wake anasema mumewe anabahati sana kutokana na kwamba hakumwambukiza laiti kama angelikuwa kamuambukiza basi angefanya kitendo cha kikatili zaidi ya kumchoma na maji ya moto mumewe.
Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote Kutoka Kwangu  Facebook na  Kibonajoro

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top