Rappa Wiz Khalifa ameingia matatani baada ya video model wa PlayBoy kuanza mipango ya kutafuta mnunuzi wa mkanda wa ngono aliorekodi na Wiz Khalifa.
Carla Howe anataka kiasi cha dola za Kimarekani kisichopungua milioni moja na tayari ameanza mazungumzo na kampuni ya Vivid Entertainment kuhusu mauzo na usambazaji wa mkanda huo wa ngono.
Tmz imeripoti kuwa Carla Howe yuko kwenye mazungumzo na Steve Hirsch wa Vivid Entertainment ila tatizo kubwa ni hawataweza kusambaza au kutoa mkanda huo bila saini ya Wiz ambaye mpaka sasa hajaonyesha ushirikiano wowote.
Carla Howe alionekana kwenye filamu moja na Wiz mwaka 2012 iliyoitwa Mac + Devin Go to High School
Kuziona picha bonyeza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment