Msanii wa record lebel kubwa africa Chocolate City Victoria Kimani ametoa video yake mpya aliyoipa jina ‘Show’. Kazi imetengenezwa na producer Tekno Miles. Model wa kiume kwenye video ni rapper Aka wa South Africa
Kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza Hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment