MCHEZA filamu za Kibongo, Alice Bangezi ‘Rayuu’, amedai kuwa huwa anashindwa kudumu na mwanaume kwa kuwa hana mvuto wa mapenzi na mara nyingi anachezewa na kuachwa kwa dharau kubwa.
Rayuu alitoa siri hiyo iliyo ndani ya mtima wake, baada ya kuwekwa kati na paparazi wetu ambaye alitaka kujua sababu kubwa inayomfanya kubadilisha wanaume, ndipo alipotoa neno hilo zito kwamba huwa anaachwa kwa sababu hana mvuto na utaalamu wa kuwateka wanaume kama wanawake wengine.
UNGANA NASI KATIKA FACEBOOK
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment