Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Staa Wema Sepetu ambaye alikuwa nchini Ghana akishoot filamu yake mpya akiwa na staa kutoka huko  Van Vicker amereja nchini, Filamu hiyo ambayo itatoka siku za karibuni itaitwa Day After Death ambapo Wema na Van Vicker wameigiza kama mtu na mume wake, picha zingine za mapokezi ziko hapo chini

Martin, Wema na Petitman


Wema na Petitman

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top