Ommy Dimpoz amepata zawadi ya Christmas mapema. Ni Toyota Prado mpya aliyojinunulia mwenyewe.
“Christmas present for myself. Thanks Allaah for everything tukutane January Inshaallaah…for big surprise,” ameandika Ommy kwenye Instagram.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment