Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

December 20 2014 ilikuwa ni siku ya furaha kwa Msanii Shilole akisherekea siku yake ya kuzaliwa lakin  furaha yake ilizidi mara dufu baada ya kuvishwa pete ya uchumba na mchumba wake Nuh Mziwanda ambapo iliyofanyika Dar es salaam, Tujiunge na AyoTv ili kupata dakika tatu za kuona tendo lilivyokuwa kwenye siku hiyo ya birthday yake kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top