Baada ya Mrisho Ngassa kuchukua headline kuoa mke wa pili sasa time hii ni mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi Dec 21 ametambulishwa rasmi na mchumba wake aitwae Florence Nakalegga.
Utambulisho huo umefanyika Buloba, Kampala na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio zima la utambulisho.

Pichani Florence Nakalegga ambaye mke mtarajiwa wa mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akiwa na furaha.
Photo Credit: #Hussein Bukenya
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro












Post a Comment
Post a Comment